Biashara Ya Kuuza Maji Part 1 mp3 download


BIASHARA YA KUUZA MAJI PART 1

LYRICS

Biashara ya maji ni biashara muhimu na yenye faida kubwa endapo utaamua kwa nia moja kuyasaka mafanikio


BIASHARA YA KUUZA MAJI PART 2

LYRICS

JE umeahi kujiuliza kuwa kwa siku unakunywa maji ya kiasi gani, kama wewe ni miongoni mwa watu wanaokunywa maji, basi jua biashara hii ni dili kwako


The Avenue- Dicksound kutoka kuuza maji mtaani mpaka kuwa na biashara ya mamilioni

LYRICS

kipindi cha the avenue kinaruka kila jmosi saa 1:00 usiku TBC 1 na kurudia jtatu saa 8:00 mchana tunaweza kupatana instagram,Twitter na facebook @anganile


Kikundi Chazindua Biashara Ya Kuuza Maji Ya Chupa, Murang'a

LYRICS

Vijana kutoka eneo la Kahura kaunti ya Murang'a wamezindua mradi mpya ya kuuuza maji ya chupa katika eneo hilo ili kukabiliana na uhaba wa maji pamoja na kutafuta ajira. Mradi huu ambao utawapa vijana mapato zaidi ya shilingi milioni moja kwa mwaka utawawezesha kuimarisha maisha yao badala ya kujiunga na unywaji wa pombe ambao umeathiri vijana wengi katima maeneo ya kati.


Maji pesa Mashine ya kuuza maji inayokuwezesha kupata pesa kwa urahisi Tanzania

LYRICS

Majipesa ni Mashine mpya ya kuuza maji iliyotengenezwa Tanzania kwa lengo la kurahisisha uuzaji wa maji na kumuwezesha muuzaji wa maji kupata faida kwa haraka zaidi. website: https://majipesa.sticlab.co.tz


Zinaitwa 'Powerbank' Arusha, 'busta' Dar zazua mjadala, muuzaji anapata elfu 70

LYRICS

Ubunifu kwenye biashara umemsaidia Mama Mjasiriamali ambaye amebuni biashara ya kuuza mchanganyiko vitu mbalimbali ikiwemo karanga, karoti, mihogo mibichi pamoja na nazi ambapo zinadaiwa kuongeza nguvu za kiume kwa Arusha zinaitwa 'Powerbank' au amsha popo na Dar zinafahamika kama 'Busta' Kwa mujibu wake anasema alianza kwa kuuza moja na mpaka hivi sasa ana uwezo wa kuuza za Shilingi 70000 ambapo kifurushu kimoja kinauzwa shilingi elfu moja


KAMA NA FANYA BIASHARA YA KUUZA NGURUWE LAKINI SIKULI NI MAKOSA?. NI KATIKA DA-WAA MITAANI PART 6

LYRICS

DA-WAA MITAANI SEHEMU YA SITA GITHURAI 45,TAREHE 15-9-2020, NA USTADH YUSUF, USTADH SAID NA USTADH HUSSEIN MWENJA


MWANAMKE MJASIRIAMALI ANAYEMILIKI KIWANDA KIDOGO-KIBAHA

LYRICS

KWA UFUPI: Mahojiano ya Afisa Habari wa UNIC Dar es Salaam, Stella Vuzo na Mwanamke Mjasiriamali, Bi. Asha Ruta wa Kibaha, ambaye anamiliki kiwanda kidogo cha kutengeneza mafuta ya nazi pamoja na karanga za kusaga. Kiwanda chake kipo ndani ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake.


USHAWAHI KUONA MAJI YANAVYOTENGENEZWA?

LYRICS

#MAJI #JAMBOFOODSRODUCT #JAMBODRINKINGWATER USHAWAHI KUJUA MAJI YANAVYOTENGENEZWA? Sehemu kubwa ya mwili wa binadamu ni maji kwani maji ni uhai, japokuwa si kila maji huwa ni salama na kukufanya upende kunywa maji. Jambo Food Product ni kiwanda pekee kinachotengeneza maji ya kunywa yenye kiwango cha kimataifa, lakini swali kubwa ni Je, Maji unayoyatumia unajua yanavyotengenezwa? Wilson Mseti ambae ni meneja udhibiti viwango na Ubora wa kiwanda hiki cha maji anaeleza namna ya utengenezaji wa maji wa maji kiwandani hapo. Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho Category


MREMBO ALIYEANZA KWA KUUZA MKAA LEO ANAMILIKI BIASHARA, NYUMBA MBILI "NILIKUWA NIKILALA PORINI"

LYRICS

#WanawakeWAPAMBANAJI


MTAJI WA BIASHARA YA SABUNI ZA MAJI NA JINSI YA KUIANZA

LYRICS

Katika biashara nyepesi za kufanya sabuni ya maji ni moja wapo Mana ni nyepesi kuzalisha na kuihuza pia maligafi zake niza mtaji mdogo Sana ukilinganisha na sabuni zinginezo .


Biashara ya kuuza ASALI na Dada Coletha / Wengine wanapaka sehemu zao

LYRICS


Vijana wajikwamua kwa kuuza makande

LYRICS


Zifahamu biashara ndogo ambazo zinaingiza pesa nyingi.

LYRICS

5Selekt.


Fursa kilimo cha biashara.

LYRICS

#Kumekucha Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg


Kampuni 3 zapigwa marufuku kuuza maji ya kunywa

LYRICS

Kampuni 3 za kuuza maji ya kunywa mjini Mombasa zimefungwa na wenyeji kushauriwa kutonunua wala kunywa maji kutoka kwa kampuni hizo, baada ya vipimo kuonyesha maji yao si salama kunywa. Vipimo vya kiafya kwenye maji kutoka kampuni ya Zahra Zool, Starpop na Warda vilionyesha kwamba maji hayo yana chembechembe za maji taka na huenda yamechangia katika kusambaa kwa ugonjwa wa Hepatitis A kaunti ya Mombasa


BIASHARA 5 ZINAZOHITAJI MTAJI MDOGO KABISA |

LYRICS


DAKTARI WA KITANZANIA AIBUKA NA MBINU YA MAJI, AWEKA MASHINE MUHIMBILI "AWAMU YA TANO, HAKUNA KUUZA"

LYRICS


AY Avunja Record ya Diamond Ku-Pimp Gari kwa Dicksound, wanachopenda Mastaa wa Kike

LYRICS

Dicksound ni moja kati ya Vijana wenye Majina Makubwa Tz kutokana na Uzoefu mkubwa wa Ku-Pimp magari ya watu maarufu hususan Mastaa wa Muziki, Filamu na wanamichezo Ameeleza sababu za yeye kukubaliak zaidi na Mastaa hao tofauti na wengine ikiwa ni pamoja na yeye kuongeza Ujuzi wake nchi za nje kila baada ya Muda fulan.


Dick Sound kutoka kuchunga Ng'ombe na kuuza maji ya mkokoteni mpaka utajiri (PART 1)

LYRICS

Dick Sound from grazing cows and sell the water cart to wealth (1) Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/


Huyu Ndiye Kijana Muuza Maji Aliyewajengea Wazee Nyumba!

LYRICS

Huyu Ndiye Kijana Muuza Maji Aliyewajengea Wazee Nyumba! Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Twabagondozi wilayani Kibondo mkoani Kigoma, ameonyesha kuwa si lazima kuwa na pesa nyingi ili kuweza kusaidia watu wengine wenye mahitaji baada ya kujitolea kuwasaidia wazee wasiojiweza 15 katika kijiji chao kwa kuwajengea nyumba za kuishi. Tito Mitagato ambaye ni yatima, shughuli yake kuu ni kuuza maji kwa kutumia baiskeli lakini licha ya kipato kidogo anachokipata hiyo haikumzuia kutimiza ndoto yake ya kuwasaidia wazee kwani hiyo imekuwa ni ndoto yake ya muda mrefu tangu akiwa mdogo. Amesema ndoto hiyo ilikuja baada ya yeye kupitia katika hali ngumu ya maisha ya kulelewa na bibi yake baada ya baba yake kufariki dunia na baadaye mama yake kumuacha kwa bibi yake baada ya kuolewa na mume mwingine. Tito mwenye mke, amesema hununua vifaa vya ujenzi na kujenga yeye mwenyewe ambapo ameeleza namna anavyoweza kugawa muda wake kwa ajili ya majukumu ya kifamilia na muda wa kuwasaidia wazee hao. Mmoja wa wazee aliowasaidia ni Maria Kafugu, anasema kijana huyo ana roho ya pekee kwani licha ya kuwa na watoto wake hawajafanya kitu kama alichokifanya Tito. Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Twabagondozi, wakiwemo vijana wenzake wamemuelezea kijana huyo kama mfano wa kuigwa na wengine, huku wakiiomba serikali imtumie kama balozi wa kusaidia watu wenye mahitaji. Kwa mujibu wa kijana huyo (Tito), bado anatamani kusaidia watu wengi zaidi kwani wahitaji ni wengi lakini hali ya kipato chake humkwamisha kutimiza azma yake hiyo. Mwisho https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho


Biashara ya punda yapigwa marufuku nchini Kenya

LYRICS

Serikali ya Kenya imepiga marufuku uchinjaji punda ili kuzuia kuangamia kwa wanyama hao. Wafugaji wengi wamelalamikia wizi wa mifugo hao. #wanyama #kenya #bbcswahili


Uwekezaji kwenye nyumba [Part 1]

LYRICS

Morris Omollo: Dhamani ya nyumba inalingana na mahali ambapo ardhi iko. Ukilinganisha eneo la Upperhill na Thika Road, Thika Road ina barabara nzuri lakini Upperhill inaonekana kama mji kutokana na shughuli za biashara. #SemaNaCitizen Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya


JIFUNZE KUHUSU BIASHARA YA CHAPATI

LYRICS

Jifunze kupika Chapata zaidi ya Mia moja 100


Sio maji yote ya chupa ni salama na sio maji yote mfereji ni machafu

LYRICS

Kwa wananchi wengi, maji ya chupa huonekana kuwa ni salama zaidi kuliko yale ya mfereji. Lakini kulingana na utafiti, maji ya mfereji pia yako salama kwa matumizi. Mwanahabari wetu Kimani Githuku anatueleza zaidi kuhusu usalama wa maji tunayoyatumia kila siku.


DICK SOUND KUTOKA KUCHUNGA NG’OMBE NA KUUZA MAJI YA MKOKOTENI MPAKA UTAJIRI (PART 2)

LYRICS

Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/


Jinsi Kijana Godfrey Shrima Alivyokuza Biashara Yake

LYRICS

Founder & MD Of Africa Success Academy www.joelnanauka.com Call Or WhatsApp Me At +255743868507


JACK MATUNDA MUUZA MATUNDA/ SINA SPONSA MJINI/ NILIONA FURSA KWENYE MATUNDA/ CHANGAMOTO PIA ZIPO

LYRICS

Tumepiga story na mwanadada mjasiriamali Jacky aliyejiingiza kwwnye biashara ya matunda.


DICK SOUND KUTOKA KUCHUNGA NG’OMBE NA KUUZA MAJI YA MKOKOTENI MPAKA UTAJIRI (PART 3)

LYRICS

Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/


DICK SOUND KUTOKA KUCHUNGA NG’OMBE NA KUUZA MAJI YA MKOKOTENI MPAKA UTAJIRI (PART 4)

LYRICS

Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/


Wahaya kuhusishwa na biashara ya kuuza miili yao

LYRICS


Mak Juice kijana aliye acha ajira na kuuza Juice, Mtaji alioanzanao.

LYRICS

Makoye ni Kijana ambaye aliacha kazi na kuamua kuanza shughuli za ujasiliamali japo alikutana na changamoto hatimaye amefanikiwa na kwa sasa anamiliki ofi yake ya Mak Juice ambapo anauza Sharubati (Juice) ya matunda mbalimbali, akizungumza na HZB Makoye ameelezea jinsi ambavyo alianza biashara yake na mtaji wa Tsh. 10000 na kwa sasa anamiliki mtaji mkubwa na ameweza kukamilisha baadhi ya vitu vya ndoto yake. ___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________ Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. ******************************************* Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: https://www.youtube.com/c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/


Biashara Na Mazingira

LYRICS

kampuni ya Coca -- Cola, Safepak na ile ya utengezaji maji ya Highlands hii leo zilitangaza kuwa zitashirikiana kuakikisha kuwa chupa zote za plastiki zimekusanywa na kutayarishwa upya kwa matumizi mengine ili kuhifadhi mazingira. Ushirikiano huo uliafikia kubuniwa kwa kampuni itakayo kusanya na kutayarisha machupa hizo kwa matumizi mengine.


Mradi wa Maji wa Murang’a sasa ni kaa la moto

LYRICS

Mradi wa maji al maarufu northern water collector unazidi kuwa kaa la moto kwa viongozi wa kaunti ya murang’a huku wakionekana kushindwa kuupinga wala kuunga mkono huku wakishikilia kuwa kwanza lazma wananchi wa eneo hilo wafaidike na maji hayo kabla ya kuelekezwa Nairobi. Kwa upande wake mrengo wa upinzani unaendelea kushtumu serikali kwa kuendeleza mradi huo licha tetesi za kimazingira zilizoibuliwa na kinara wake raila odinga. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya


Jinsi ya kupika Maandazi ya Baking powder #halfcake

LYRICS

Unga 500 g Sukari 100g / nusu kikombe Baking powder kjk 1 cha chai Yai 1 Mafuta kjk cha chakula 1 1/2 Maziwa kikombe 1 hadi 1 na 1/2 Hiliki 1/2 kjk cha chai Ukitaka yapasuke sana yawe haflcake ongeza baking soda 1/4 hadi 1/2 kjk cha chai 🤗


DEODATHA:Binti Mwenye uthubutu aliyehitimu Elimu ya chuo Kikuu na kuamua kujiajiri kwa kuuza matunda

LYRICS

Kutana na Binti Mrembo aliyehitimu elimu ya chuo kukuu katika chuo kikuu cha Mzumbe ambae ameamua kujiajiri mwenyewe kwa kuanzisha biashara ya uuzaji wa matunda mkoani tabora. Binti huyu hapendi kuwa tegemezi na ndiyo maana akaamua kujiajiri ili awe huru kiuchumi.


KUTANA NA MHANDISI MUUZA JUICE, "NIMECHAGUA SEHEMU AMBAYO SIBANWI"

LYRICS

Kutana na Michael Mwaikenda Mhandisi kitaaluma ila anatengeneza na kuuza juice mtaani kwa miaka tatu alianza tangu akiwa chuo huko Mbeya


HII NOMA: Rais Magufuli azindua kiwanda kwa kunywa maji

LYRICS

Leo Alhamisi ya Mei 17, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua kituo cha uwekezaji cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) pamoja na viwanda vya maji na ushonaji vinavyomilikiwa na Suma JKT vilivyopo jijini Dar es Salaam


Jinsi Ya Kutengeneza Na Kupika Maandazi Laini Sana

LYRICS

Ingredients 3 kikombe cha chai level unga wa ngano 1 na 3/4  vijiko yva chai Full recipe Mwenza --- http://www.farhatyummy.com/african-dishes/delicious-fried-coconut-mandazi-mandazi-ya-nazi/ My website http://www.farhatyummy.com Instangram https://www.instagram.com/farhatyummy Facebook https://www.facebook.com/Farhat-Yummy-Food-208790805988110 Twitter https://twitter.com/farhatyummy Music details: [No Copyright Music] Bubblegum - Declan DP https://www.youtube.com/watch?v=E5BbrFYQIps&t=2s https://soundcloud.com/declandp https://creativecommons.org/licenses/by/3.0/


HALF KEKI ZA HAMIRA(YEAST)|JINSI YA KUPIKA HALF KEKI ZA HAMIRA |IMEOMBWA NA WATU WENGI

LYRICS

Kama mlivyoomba hizi ndo half Keki za hamira. kuangalia video.zingine za half keki bonyeza link hizi HALF KEKI ZA CHAPA MAANDASHI https://youtu.be/W1wlvlftMVs HALF KEKI ZA GHARAMA NAFUU https://youtu.be/DAbzIVpQLXU HALF KEKI ZA NAZI https://youtu.be/JHUOlmx_nis ANDAZI KEKI https://youtu.be/ac0aZERL29o


MASHINE YA KUGANDISHA BARAFU KWA MUDA MFUPI SANA (ICE BLOCK MACHINE )

LYRICS

SUBSCRIBE Kwa wale wajasiliamali wanaojiusisha na biashara ya barafu hii mashine ni sululisho la biashara yako Kwanza sifa ya mashine hii inagandisha kwa mudu mfupi Sana kwa saa 4 barafu limegandanda kabisa. Kwa mawasiliano tupigie kwa namba hii 0713442644 tunapatikana UBUNGO RIVERSIDE DAR ES SALAAM.


CAMERA ILIVYOMNASA HARMORAPA AKICHOMA MAHINDI, Afunguka MAZITO...

LYRICS

CAMERA ILIVYOMNASA HARMORAPA AKICHOMA MAHINDI, Afunguka MAZITO... MWANAMUZIKI Harmorapa, sasa ameamua kugeukia biashara ya kuuza mahindi ya kuchoma katika kuendesha maisha yake.. Global TV imemnasa Harmorapa akiwa katika kijiwe chake hicho na kupiga nae stori.. #HARMORAPA UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline


Ukikutwa na maji ya 'kandoro' jela, faini inakuhusu, Necta yapata dawa vyeti feki

LYRICS

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Dar24 #Dar24Magazeti


JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MCHE/KIPANDE- (whatsapp-0754745798)

LYRICS

Habari Rafiki; Jipatie mafunzo yenye tija juu ya uzalishaji wa bidhaa za viwandani kama vile sabuni za aina zote, kuanzia zile za mche, za maji, za unga, shampoo, mishumaa, chaki na bidhaa nyingine. Unaweza kununua kitabu cha jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali moja kwa moja kupitia simu yako. Bonyeza link hii kudownload kitabu hicho👇 https://piusjustus.com/2019/03/25/kitabu-biashara-endelevu-katika-mazingira-yako/ For more, visit www.piusjustus.com #whatsapp_0754745798, #whatsapp_0659908078


Nakuru: Wakazi wateketeza nyumba za wanaodaiwa kuuza pombe haramu

LYRICS

Wakazi wa Muchorwe eneo bunge la Molo katika kaunti ya Nakuru walichukua sheria mikononi na kuteketeza nyumba za watu wanaodaiwa kuendesha biashara ya kuuza pombe haramu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya


HASSLE YANGU: TULICHANGA PESA NA MCHUMBA WANGU ILI KUFUNGUA BIASHARA YA MANICURE/PEDICURE

LYRICS

#HassleYangu Produced by Innocent Matara Mc Heartz alichanga pesa na mchuba wake shiko ili kuanzisha biashara ya kutengeza kucha za mikono na miguu almarufu kama pedicure na manicure,tazama upate uhondo kamili SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/user/KTNClassics Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.


Matangi ya maji yawekwa katika sehemu mbalimbali Kericho

LYRICS

Mjini Kericho, matangi ya maji yamewekwa katika sehemu mbali mbali za mji huo ili kuwasaidia wafanyibiashara kujilinda dhidi ya virusi vya Corona.


Serikali yatangaza rasmi kuondoa marufuku ya wakulima kuuza mazao nje ya nchi

LYRICS

Serikali imetangaza rasmi kuondoa marufuku ya wakulima kuuza mazao nje ya nchi huku ikiwahimiza kujikita katika kilimo biashara na kuondokana na kilimo cha kujikimu ili kuongeza kipato.


Mwalimu aacha kufundisha na kuanza kuuza Maji mtaani, aonesha vyeti vyake,

LYRICS

Bilo Sid Bilo ni kijana anaishi mkoani Kigoma, Baada ya kumaliza masomo yake ya uwalimu mwaka 2015 na kuanza kufundisha moja kati ya shule ya secondary ya wasichana mkoani Kigoma kwa miezi 7 baada ya kukosa ajira serikialini na kuamua kujitolea katika shule hiyo.


Mjasiriamali alieanza kwa mtaji wa elf 3 na sasa anamtaji wa zaidi ya million 25

LYRICS


Last Music Searches

| Skyrim Best Alik R Ending | Kaho Na Pyar He Remix Dj | Daniel Haplos Cover | Baldi S Basics Funny Videos | Round2hell Funny Status Video Comedy | Ortal Israel Remix | Glaze Training Class Pdf In Hindi Download | Which Credit Card Is Best For Beginners | Remix Tony Fika | 20 Min Yoga Music | Lync Co 01 Video | Soniyo Full Song | Bsa Music | Put Your Head On My Shoulder Lyrics Guitar Karaoke | Jathalal Nice Video | Amit Patel 2020 All Song | Jai Bheem Videos | Sarhad Full Movie | Thodi Jagah Song Instrumental | Lahore Qalandar Cricket Song | Stylish Star Allu Arjun New Movie | Mohabbat Tujhe Alvida Whatsapp Status | Birthday Greeting Cards Handmade | Chandigarh All Punjabi Songs | Jesus Praise And Worship Songs In English | Okadog Music | O Mai Meri Kya Fikar Tujhe Dj Mix | Dj Bajai Jache Shasti Tol Dj Song | Những Thánh Cover Nhạc Trẻ Sang Bolero | Youtube Video Size For Upload | Canada Rap Videos | Losing Focus Ft Wale THEY Lyrics | Tdat Songs | Best Video Game Quotes | Tekashi69 Stoopid Lyrics | Meharbaan Kulwinder Billa Status | Karaoke Remix Tone Nữ Từng Yêu | Ertugurl Song In Urdu Full | 2018 Fantasy Movies You Missed | Dj Bertaut Angklung | Muj Pribeh Film | Love Ringtone Of 2018 | Mohila Shontrashi Movie Scene

Video Preview

About

Free download Biashara Ya Kuuza Maji Part 1 mp3, 1.49 MB Download Biashara Ya Kuuza Maji Part 1 mp3, listen 00:01:08 and download official music mp3

About gtimp3.com

On gtimp3.com you can find your favorite music that exists on the web, read music news and download mp3 for free in the best quality. No registration is needed.